Feedback Sitemap Send page Print Help
Mtoto wa kike na ICT katika elimu:

SchoolNet Afrika inataka kuinua na kuboresha nafasi ya elimu na ICTs kwa mtoto wa kike barani  Afrika.

Makala

Mfumo wa kusimamia elimu ya msichana - 2020 Aug 15
Mfumo wa kusimamia elimu ya msichana ni semina iliyofanyika nchini Mali. Makala hii inaeleza kwa ufupi maendeleo ya mtizamo wa mradi wa SAGE/Mali unaofadhiliwa na USAID. Miaka miwili na nusu ya mradi huu unaangaliwa kwa uhusiano wa mfumo wa miundo mbinu ya elimu kwa msichana na wanawake wa SAID/EGAT/WID ambao SAGE/Mali ni sehemu ya mradi huu.

Kuwatia nguvu wanawake kupitia mtandao wa Internet - 2020 Jun 11
Makala hii itachanganua jinsi teknolojia ya habari na mawasiliano (ICTs) inavyoweza kuwapa nguvu wanawake kwenye nyanja za elimu na uchumi, pia uwakilishi wao katika kumaliza unyanyasaji juu ya wanawake na watoto wa kike.

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika elimu ya walimu: - 2020 Jun 10
Lengo kuu la ripoti hii ni kutoa taarifa ya kampeni na uwakilishaji wa elimu ya msichana katika maeneo ya Kaskazini na Kusini. Ripoti inaelezea mafanikio yaliyokwisha fikiwa katika kupunguza pengo la jinsia katika elimu katika ulimwengu unaondelea na shughuli iliyobaki kufikia lengo.

Habari za jinsia na matumizi ya kompyuta katika elimu Afrika: - 2020 May 30
Ripoti hii ni ripoti ya majadiliano, iliyoongozwa na Imfundo:Ushirika wa II katika elimu, ambayo inavumbua habari za jinsia na matumizi ya kompyuta katika elimu Afrika. Ingawa mpaka sasa kuna tafiti chache Afrika, Tafiti za Ulaya na Amerika ya kaskazini zinaonyeshwa tofauti kubwa ya jinsia na kutokuwa sawa katika matumizi ya elimu kwa kompyuta, kwenye tabia ya matumizi ya kompyuta na matokeo yake katika elimu. Mtizamo huu unaleta matokeo, na utafiti mkubwa kuhusu jinsia kwenye maendeleo na elimu Afrika, kuelezea habari ambazo ni chimbuko la mwongozo wa jinsia kwenye matumizi ya kompyuta kwenye mashule na elimu kwa walimu.

Nyenzo

Namna ya mchanganuo wa jinsia
Mwongozo huu unampa mtumiaji jinsi ya kufanya mchanganuo (unajumuisha tovuti za vyanzo vya kufanya uchanganuo) na unaeleza mbinu na njia za kuhusisha utafiti katika jinsia kwenye mchanganuo mzima. [640]
http://www.apcwomen.org/gem/index.htm

Miundo mbinu ya kuangalia jinsia katika elimu:
tovuti hii inakupa orodha ya jinsia katika elimu ya shule na nje ya shule katika elimu na mafunzo. [637]
http://www.adb.org/Documents/Manuals/Gender_Checklists/Education/educ2020.asp?p=...

Kuangalia jinsia kupitia ufikiwaji wa sehemu kubwa: utafiti wa Uganda:
Utafiti huu wa Uganda ni mmojawapo kati ya tatu zinazosimamiwa na Development Assistance Committee (DAC) ya OFCD kuangalia na kuchunguza jinsia kupitia ufikiwaji wa sehemu kubwa ya elimu katika elimu. Mingine miwili inatafiti katika nchi za India na Ghana. Utafiti huu ulianzishwa kufuatia majibu ya kutambua uhusiano kati ya jinsia, umaskini na elimu; na nia ya kutaka kufaulu kuwafikia walengwa tathmini na yatatoa mwongozo kwenye utafiti mpana wa jinsia katika taasisi za afya na kilimo. [636]
http://www.odi.org.uk/pppg/cape/papers/Uganda.pdf

Jinsi gani wasichana watanufaika na mipango ya elimu kupitia ICT:
Muungano wa tovuti wa dunia ulitoa maamuzi ya ufuatiliaji wa jinsia mwaka 2020 uliolenga kwamba “ ni jinsi gain wasichana na wavulana wanavyofikiwa kwa utofauti na mpango huu? ”. Kufadhiliwa kwa mpango huu kuliwezekana kupitia mchango maendeleo wa Benki ya Dunia. Utafiti ulifungwa na Dr. Coumba Mar Gadio na uliangalia wanafunzi wasichana na wavulana katika nchi 4 za kiafrika: Senegal, Mauritania, Uganda na Ghana. [635]
http://www.world-links.org/english/html/genderstudy.html