Feedback Sitemap Send page Print Help
Open Source

Msamiati wa “vyanzo wazi” unatumika zaidi kuliko “vifaa huru vya kompyuta” lakini kwa mapana una maana karibu sawa hakuna sheria za usambazaji.  Vyanzo huru hupalilia moyo wa ushirikano huru wa mawazo, maarifa na utatuaji wa matatizo na hivyo kuwapa waendelezaji mawazo mapya zaidi ya yale waliyoyatoa.  Tafadhali tuandikie makala za URL kuhusu vifaa vya vyanzo huru na habari zinazohusiana kupitia:

[email protected]