Feedback Sitemap Send page Print Help
Uwezo wa kumudu na kuendeleza

Kipengele hiki kinajumuisha vitu ambavyo shule zinahitajika kuangalia wakati wa kupanga matumizi yao ya ICT, kukiwa na mtazamo wa kuweza kumudu na kuendeleza matumizi ya ICTs katika elimu. Hapa utapata vifaa vya kufundishia na tovuti mbalimbali ya ICT kwenye miundo mbinu na habari za matumizi na namna ya kutumia ICTs kwenye elimu.

Makala

Kuhakikisha ufumbuzi endelevu - 2020 Jul 02
Katika makala hii mada nne kuu zilijadiliwa, habari na mapendekezo katika mafunzo ziliangaliwa chini ya mwongozo, ufundishaji na ujengaji wa uwezo, siasa, sera na washika dau, gharama, mtizamo wa kifedha na teknolojia.

Mchanganuo wa gharama katika miradi ya teknolojia ya habari katika elimu - 2020 Jun 04
Pamoja na upungufu mkubwa wa bei kwa miaka ya hapa karibuni, teknolojia ya mawasiliano, kama ilivyobuniwa kwa sasa, nchi hazitaweza kumudu kuzisambaza katika sehemu kubwa na mifumo ya shule katika muda wa hapa karibuni. Ingawa katika nchi nyingi watunzi wa sera na wakufunzi wanaanzisha tafiti za majaribio katika miradi ya teknolojia, hasa kwa kupitia misaada ya nje na vyanzo vya bajeti ya ziada na msaada mkubwa kutoka katika jamii.

Nyenzo

Kompyuta zilizoboreshwa: Tathmini ya hasara zake
Bajeti finyu imewalazimisha wakufunzi wa k-12 kutafuta njia ambazo wanaweza kupata teknolojia ya elimu. Wazo la kutumia kompyuta za zamani zilizoboreshwa limeonekana bora kwa sababu linaelezea mambo mengi ya maana. Kabla ya kuangalia habari hizo, lazima tuelezee maana ya kompyuta zilizoboreshwa. Kwa maana ya ripoti hii kompyuta iliyoboreshwa ni kompyuta ambayo imewahi kutumiwa kabla ambayo inaweza kuwa na matatizo fulani, kutengenezwa na kuhakikisha inafanya kazi vizuri na huwekwa vyombo vya kisasa ili kuweza kufikia kiwango fulani cha kompyuta. Hii ni tofauti na kompyuta nyingine zinazotolewa kama zilivyo ambapo zinaweza kufanya kazi au zisifanye kazi sawasawa. [677]
http://www.ksiinc.com/refurb.htm

Teknolojia iliyoundwa upya
Lengo la kutaka kuwa na uhakika wa upatikanaji ambao watu wanaweza kuumudu unatuongoza kuangalia kwenye kuboresha/kuunda upya vifaa hivi kutoka katika vile vilivyokwisha husika. Ushirika wa teknolojia ulifanya tathmini katika mashirika 20 ya Ulaya na Marekani na kugundua kuomba kompyuta milioni 1 zitakuwa hazina matumizi katika miaka mitatu ijayo. Kutokana na utafiti wetu, gharama za kupata kompyuta hizi ilikuwa zaidi ya dola za marekani bilioni 1.5 lakini wanaweza kubakiwa na pungufu ya dola milioni 6 na thamani ya vitabu ambavyo vitakuwa vya hali ya chini. [676]
http://www.digitalpartnership.org/about_model.htm#recycled