Feedback Sitemap Send page Print Help
Engendering ICTs

Makala

Uongozi wa kuweka jinsia na Masharti ya ICTs - 2020 Aug 19
Kwa nini wanawake hawana nafasi kwenye ICTs? Makala ya tathmini ya mwisho kuhusu jinsia na ICTs. Maelezo: Makala hii inaelezea nguvu ya ICTs, na matumizi yake katika kuwatia nguvu wanawake.

ICT na Jinsia - 2020 Aug 19
Wanawake na wanaume wana mahitaji tofauti na matatizo kwenye kupata na kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT).

Uongozi wa kuweka jinsia na Masharti ya ICTs - 2020 Aug 19
Kwa nini wanawake hawana nafasi kwenye ICTs? Makala ya tathmini ya mwisho kuhusu jinsia na ICTs. Maelezo: Makala hii inaelezea nguvu ya ICTs, na matumizi yake katika kuwatia nguvu wanawake.

ICT na usawa wa jinsia - 2020 Aug 19
Wanawake na wanaume wana mahitaji tofauti na matatizo kwenye kupata na kutumia teknolojia ya mawasiliano na habari (ICT). Katika jamii nyingi, upataji na matumizi ya teknolojia kati ya wanaume na wanawake zina asili kwenye tabia zao, utamaduni na mila za dini. ICTs na matokeo yake kama chombo cha kuwainua na kuwatia nguvu wanawake. Maelezo; Uganda, kama nchi nyingi wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kufanya maamuzi, ingawa wanawake ndio wazalishaji wakuu, wazalishaji na viongozi wa majukumu ya kijamii, mengi ambayo hayana malipo au kutambuliwa na serikali. Hadhi ya chini ya wanawake, kulinganisha na wanaume inatokana na kutokuwa na usawa wa jinsia ambao unatokana na kutokuwa na nafasi sawa na kuwa na nafasi ya kusimamia vyanzo vya mapato na faida.

Vituo vya mawasiliano na kipimo cha jinsia - 2020 Aug 19
Uangalizi wa jinsi kusivyo na usawa wa jinsia umeenea kote Afrika pamoja na kuanzishwa kwa vituo vya mawasiliano katika Afrika yote, wanawake wanaendelea kunyimwa vyanzo vya habari na mawasiliano ambavyo vingeweza kuboresha maisha yao. Mjadala huu unaangalia mahusiano ya tofauti ya jinsia, ubunifu wa vituo vya mawasiliano na upataji wa teknolojia na mawasiliano kwa wanawake.

Nyenzo

Kutambua vikwazo kwenye ICTs kwenye elimu
COL na mtandao wake unaendelea na kazi ya kuelezea vikwazo vya jinsia, kama wanavyokutana wanawake, matumizi ya ICT kwa kuelimisha na kufundisha, hasa kwenye masomo ya darasani na mafunzo kwa njia ya posta. [655]
http://www.col.org/wdd/barriersict01.htm#

Azimio la mkutano wa Fahamu ni namna gani – 2020
Kufanya kazi ya jinsia na ICT inajumuisha uelewa wa mahusiano imara katika jamii. Utambuzi huu unajumuisha uelewa wa nguvu ya mahusiano ambao si sawa kati ya wanaume na wanawake, kaskazini na kusini, tajiri na maskini, mjini na vijijini, kuunganika na kutounganika kwa jamii, katika nchi zinazojitawala na dunia kwa ujumla. [653]
http://www.isiswomen.org/onsite/knowhow/kampaladeclaration.htm

ICTs na matokeo yake kama chombo cha kuwainua na kuwatia nguvu wanawake
Uganda, kama nchi nyingi wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kufanya maamuzi, ingawa wanawake ndio wazalishaji wakuu, wazalishaji na viongozi wa majukumu ya kijamii, mengi ambayo hayana malipo au kutambuliwa na serikali. Hadhi ya chini ya wanawake, kulinganisha na wanaume inatokana na kutokuwa na usawa wa jinsia ambao unatokana na kutokuwa na nafasi sawa na kuwa na nafasi ya kusimamia vyanzo vya mapato na faida. [652]
http://www.un.org/womenwatch/daw/egm/ict2020/reports/Paper-RMijumbi.PDF